Rais Xi Jinping ahudhuria ufunguzi wa michezo ya vyuo vikuu mjini Chengdu
2023-07-28 20:41:08| cri

Rais Xi Jinping wa China, leo amehudhuria sherehe ufunguzi wa michezo ya 31 ya majira ya joto ya Vyuo Vikuu ya duniani FISU iliyofanyika mjini Chengdu, Mkoani Sichuan, Kusini magharibi mwa China.