Kama mtu anaweza kufanya chochote anachotaka maishani, hata kuishi katika chumba kidogo utahisi kuwa dunia yako ni kubwa mno
2023-07-31 14:34:04| CRI
Huu ni mstari shairi lililotungwa na Fan Peng kutoka nasaba ya Yuan, kwenye mstari huu anasisitiza kwamba watu wawe na mtazamo chanya yanapotokea mabadiliko mbalimbali.