Maeneo yanayofikiwa na watu yanahesabiwa kuwa ardhi ya nchi yao
2023-08-14 11:45:58| CRI
Mstari huo wa shairi unatoka katika "Kitabu cha Nyimbo", ambao una maana kwamba sehemu ambazo watu wanaweza kufika na kuishi zinaweza kuhesabiwa kama eneo la nchi, na kwa hivyo watu ndio msingi wa nchi.