Rais wa China atoa maagizo katika Siku ya Kwanza ya Kitaifa ya Ikolojia
2023-08-15 14:53:09| cri

Rais Xi Jinping wa China ameitaka jamii nzima kuboresha na kuwa mfano wa kuigwa katika kutekeleza kivitendo nadharia kwamba maji safi na milima ya kijani ni mali za thamani kubwa.

Rais Xi ametoa maelekezo hayo wakati China ikiadhimisha Siku ya Kwanza ya Kitaifa ya Ikolojia leo Agosti 15.