Wataalam wa ufundi wa kilimo wa China nchini Nigeria: Wanaojikita katika kazi kwenye mashamba yenye matumaini
2023-08-17 09:39:33| CRI

Hujambo msikilizaji na karibu sana kwenye kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

kipindi cha leto tutakuwa na ripoti inayohusu wataalam wa ufundi wa kilimo wa China nchini Nigeria wanaojikita katika kazi ya kilimo nchini humo, pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi, na yatazungumzia ongezeko la mahitaji ya sarafu ya China (RMB) nchini Kenya.