Fursa zinazotolewa na China kwa vijana wa Afrika
2023-08-25 08:00:05| CRI

Kila mwaka China ina desturi ya kuwaleta vijana mbalimbali wa Afrika nchini China kwenye kozi fupi ya miezi minne, ili kujifunza mambo mbalimbali ya China, na kujua ni mchakato gani uliopitia China hadi kujipatia maendeleo yake kama zama mpya. Leo kwenye kipindi cha Ukumbi wa Wanawake tutazungumza na vijana kutoka Tanzania na kufahamu kwa kina vijana hawa wanajifunza nini wanapokuja China.