Mawasiliano kati ya Mikoa ya China na nchi za Afrika yawa nguvu mpya katika ushirikiano kati ya China na Afrika
2023-08-24 10:04:03| CRI

Karibu tena msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Ripoti yetu ya leo inahusu mawasiliano kati ya mikoa ya China na nchi za Afrika yawa nguvu mpya katika ushirikiano kati ya China na Afrika, pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.