Rais Xi Jinping ahudhuria mkutano maalumu na waandishi wa habari wa mkutano wa 15 wa wakuu wa BRICS
2023-08-24 21:48:37| cri

Rais Xi Jinping wa China leo asubuhi kwa saa za huko amehudhuria mkutano maalumu na waandishi wa habari wa mkutano wa 15 wa wakuu wa BRICS.

Rais Xi Jinping ametoa hobuta akisema, nchi za BRICS zote ni nchi yenye ushawishi mkubwa, zinabeba wajibu kubwa ya amani na maendeleo ya dunia. Kwenye mkutano huo wa BRICS, nchi wanachama hao wamewasiliana kwa kina na kuafikiana kuhusu hali ilivyo sasa ya kimataifa, ushirikiano wa nchi za BRICS na mengine, pia kutoa azimio la mkutano huo ambao umepata mafanikio makubwa.

Mkutano huo umetangaza kuwa, kuzialika Saudi Arabia, Misri, Mfalme wa kiarabu, Argentina, Iran na Ethiopa kuwa nchi wanachama rais wa BRICS.

Rais Xi Jinping amesisitiza kuwa, kuongeza uanachama wa BRICS kunaonyesha nia ya nchi za BRICS kushirikiana na kushimakana na nchi zinazoendelea, kunaendana na matarajio ya jumuiya ya kimataifa, pia kunaendana na maslahi ya pamoja ya nchi zenye masoko yanayoibuka na nchi zinazoendelea.