Rais wa China kutoa hotuba kwenye Mkutano wa Kilele wa Biashara ya Huduma Duniani wa Maonesho ya Biashara ya Huduma ya Kimataifa ya China 2023
2023-09-01 13:57:00| cri

Msemaji wa wizara ya biashara ya China Bi Shu Jueting, amesema Rais Xi Jinping wa China atatoa hotuba kwa njia ya video Septemba 2 kwenye Mkutano wa Kilele wa Biashara ya Huduma Duniani wa Maonesho ya Biashara ya Huduma ya Kimataifa ya China 2023 (CITFIS).