Boti ndogo imepita milima mbalimbali mingi
2023-09-11 10:52:10| CRI

"Iwapo shairi linakuwepo, kitabu kinakuwepo, basi Chang An itadumu" na "Boti ndogo imepita milima mbalimbali mingi" ni mifano miwili ya mistari ya mashairi mbalimbali yaliyotajwa kwenye filamu “Chang An” ambayo inaeleza hadithi na kuenzi utamaduni bora wa jadi wa China.