Kampuni za dawa na vifaa tiba za China zapanua soko barani Afrika na Mashariki ya Kati
2023-09-14 10:15:30| CRI

Hujambo msikilizaji na karibu tena katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo, kando na habari mbalimbali kuhusu China na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti itakayozungumzia Kampuni za dawa na vifaa tiba za China zapanua soko barani Afrika na Mashariki ya Kati, lakini pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.