China na Zambia zakubaliana kuinua ushirikiano
2023-09-15 22:25:56| cri
Rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Zambia Hakainde Hichelema wamekubaliana kuinua uhusiano wa nchi hizo mbili na kuwa ushirikiano wa kimkakati.

Rais Hakainde Hichelema amekuwa kwenye ziara ya siku sita nchini China na maetembelea pia makampuni kadhaa katika mji wa Shenzhen.