Mawe yanaweza kuvunjwa, lakini sifa yake ya asili ya uimara haiwezi kuondolewa, madini ya cinnabar yanaweza kusagwa, lakini rangi yake nyekundu haiwezi kuondolewa
2023-09-18 14:23:14| CRI
Uthabiti wa nia njema hutokana na uthabiti wa nadharia za kiitikadi. Kutambua ukweli, kuwa na ukweli, kuamini ukweli, na kutetea ukweli ni matakwa ya kiroho kwa imani madhubuti.