Waziri wa afya ya Libya:Idadi ya watu waliokufa kwa mafuriko nchini Libya yafikia 3,351
2023-09-20 10:26:10| cri

Televisheni ya Al Arabiya tarehe 19 mwezi huu ilimnukuu waziri wa wa afya wa Libya akisema hadi ripoti yake ilipotolewa, watu 3,351 walikuwa wamekufa kwenye mafuriko yaliyotokea hivi karibuni nchini Libya.