Rais wa China kuhudhuria ufunguzi wa Michezo ya 19 ya Asia
2023-09-21 14:25:10| cri
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bi. Hua Chunying, amesema rais Xi Jinping wa China atahudhuria ufunguzi wa Michezo ya 19 ya Asia utakaofanyika Septemba 23 mjini Hangzhou.