Rais Xi Jinping wa China ahudhuria ufunguzi wa Michezo ya Asia ya Hangzhou
2023-09-23 20:21:14| cri

Sherehe ya ufunguzi wa Michezo ya 19 ya Asia imefanyika huko Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang jioni ya leo. Rais Xi Jinping wa China alihudhuria sherehe hiyo.