Tamasha la Sikukuu ya Mwezi ya Jadi ya China lililoandaliwa na CMG lafanyika
2023-09-29 21:24:29| cri

Tamasha la Sikukuu ya Mwezi ya Jadi ya China lililoandaliwa na Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limefanyika leo usiku