Taifa halitafuti maslahi binafsi bali linatafuta maslahi makuu
2023-10-02 10:07:59| CRI

Kwenye ushirikiano wa kimataifa, sio kama tunapaswa kuzingatia maslahi tu, bali pia tunatakiwa kuzingatia uadilifu. Taifa la China siku zote limekuwa likitetea kanuni ya "kuwa na nia njema inayozingatia uadilifu kama kiini chake" na kusisitiza kuwa "kuwa tajiri na kuheshimiwa kupitia njia zisizo za haki ni jambo la muda mfupi kama wingu linalopita".