Sherehe ya Kufungwa kwa Michezo ya 19 ya Asia ya Hangzhou yafanyika
2023-10-08 21:47:50| CRI

Sherehe ya Kufungwa kwa Michezo ya 19 ya Asia ya Hangzhou imefanyika Oktoba 8 katika Uwanja wa Kituo cha Michezo wa Olimpiki mjini Hangzhou.