Mkutano wa 18 wa wajumbe wote wa ACFTU waanza
2023-10-10 08:36:20| CRI

Mkutano wa 18 wa wajumbe wote wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi la China (ACFTU) umefunguliwa leo Jumatatu hapa Beijing, na kuhudhuriwa na rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China pamoja na viongozi wengine wa Chama na serikali ya China.