Watoto Watundu
2023-10-11 15:57:49| cri


Ni watoto watatu mashahidi wanaojifanya wajanja kwa kumlaghai muuaji.

Ni simulizi itakayokupa kihoro na kukufanya usitulie kitini kwa hofu.

Ni hadithi ya kutisha na kusisimua mwili hadi vinyweleo kukusimama. Ndani ya kisa hiki hakuna mtu asiye na hatia.

Je hatima yao itakuwaje?

Na je muuaji ataingia kwenye mtego wa watoto?

Usiumize kichwa kwa kujiuliza maswali mengi kwani kuna njia moja tu ya kujua yote haya.

Watoto Watundu utaipata kupitia kipindi chako pendwa cha Simulizi za Riwaya. Usikose!

Sehemu za 1-10 >>

Sehemu za 11-20 >>

Sehemu za 21-30 >>

Sehemu za 31-40 >>

Sehemu za 41-50 >>

Sehemu za 51-60 >>

Sehemu za 61-70 >>

Sehemu za 71-84 >>