Mafanikio ya China yahamasisha Afrika kutafuta njia ya kujitegemea ya maendeleo
2023-10-12 10:49:32| CRI

Natumaini u mzima buheri wa afya msikilizaji na unaitegea sikio CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

katika kipindi cha leo ripoti yetu itahusu mafanikio ya China yahamasisha Afrika kutafuta njia ya kujitegemea ya maendeleo, na pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi yatakayozungumzia Wakenya wajumuika na Wachina kusherehehekea tamasha la sherehe za kichina za Mid-Autumn.