Shanghai: Msanii atupa sanamu ya "Mtoto wa Mchele" kwenye pipa la takataka ili kutoa wito wa kuzingatia usalama wa chakula
2023-10-14 23:38:10| cri

Wakati Siku ya Chakula Duniani inapokaribia, msanii Yang Yexin tarehe 12 mwezi Oktoba alikamilisha maonyesho ya "Maisha ya Mtoto wa Mchele" katika mitaa ya Shanghai, ili kutoa wito kwa jamii kuzingatia usalama wa chakula.