Waziri Mkuu wa Ethiopia awasili Beijing kuhudhuria Mkutano wa 3 wa “Ukanda Mmoja Njia Moja”
2023-10-16 14:39:14| cri

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amewasili Beijing leo Jumatatu kuhudhuria Mkutano wa tatu wa Kilele wa Ushirikiano wa Kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”.