Rais wa Colombia kufanya ziara nchini China
2023-10-23 10:55:08| cri

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying ametangaza kuwa, rais wa Colombia Gustavo Petro atafanya ziara rasmi nchini China kuanzia tarehe 24 hadi 26 mwezi huu.