Chombo cha anga za juu cha Shenzhou-17 charushwa kwa mafanikio
2023-10-26 23:17:51| cri

Chombo cha anga za juu cha Shenzhou-17 cha China kilichobeba wanaanga watatu kimerushwa kwa mafanikio kwa kutumia roketi ya Long March-2F Y17 tarehe 26 mwezi Oktoba kutoka kwenye kituo cha kurushia vyombo vya anga za juu cha Jiuquan, kaskazini magharibi mwa China.