Aliyekuwa waziri mkuu wa China Li Keqiang afariki dunia
2023-10-27 10:04:28| CRI

Aliyekuwa waziri mkuu wa China Li Keqiang amefariki dunia kwa mshtuko wa moyo wa ghafla saa 6 na dakika 10 usiku wa kuamkia tarehe 27, Oktoba mjini Shanghai, akiwa na umri wa miaka 68.