Wananchi wakitajirika nchi itakuwa na nguvu, wananchi wakiwa salama nchi itakuwa na amani
2023-11-06 11:08:47| CRI
Sentensi hiyo inatokana na kitabu kilichoandikwa na Zhao Ye, mwanahistoria wa Enzi ya Han Mashariki, ambayo inawaasa viongozi kuweka maslahi ya wananchi mbele ndipo nchi itakuwa na nguvu.