Rais wa China kuzungumza na rais Marekani na kuhudhuria mkutano wa APEC
2023-11-13 11:21:01| CRI

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying ametangaza kuwa, rais Xi Jinping wa China atakwenda nchini Marekani kuzungumza na rais Joe Biden wa nchi hiyo, na kuhudhuria mkutano wa 30 usio rasmi wa viongozi wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC).