Wanajeshi lazima wawe na maono makubwa, na kujua majukumu yao ni magumu na makubwa
2023-11-13 10:19:48| CRI

Sentensi hii iliyosemwa na Zeng Zi katika kitabu chake, inaonesha kuwa wanajeshi wanapaswa kutoridhika na pale walipofika, lazima waangalie mbele zaidi.