Rais Xi Jinping wa China aelekea San Francisco kwa mkutano kati yake na Rais wa Marekani na mkutano wa APEC
2023-11-14 20:27:36| CRI

Rais Xi Jinping wa China ameondoka Beijing usiku wa leo tarehe 14 akielekea San Francisco kwa mkutano kati yake na mwenzake wa Marekani Joe Biden na vilevile kuhudhuria mkutano wa 30 usio rasmi wa viongozi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC).