Rais Xi Jinping wa China na Rais Joe Biden wa Marekani kukutana huko San Francisco, nchini Marekani.
2023-11-16 01:18:09| cri

Asubuhi ya tarehe 15 kwa saa za Marekani, rais Xi Jinping wa China atafanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani Joe Biden mjini San Francisco.