Rais wa China ahudhuria karamu ya kumkaribisha
2023-11-16 12:41:35| cri

Rais Xi Jinping wa China ambaye yupo ziarani nchini Marekani amehudhuria karamu ya kumkarisha iliyoandaliwa na mashirikisho ya kirafiki ya Marekani.