Mhandisi wa Hispania atoa mpango wa kutengeneza ndege kubwa ya Supersonic
2023-11-17 01:27:55| cri

Mhandisi wa Hispania atoa mpango wa kutengeneza ndege kubwa ya Supersonic, ambapo safari ya moja kwa moja kutoka London hadi New York itachukua dakika 80 tu