Watoto wanajaza maji kwenye madumu mbele ya pampu ya maji ya kunywa ya umma huko Antananarivo, Madagascar
2023-11-17 06:44:45| cri

Watoto wanajaza maji kwenye madumu mbele ya pampu ya maji ya kunywa ya umma huko Antananarivo, Madagascar. Baadhi ya wakazi wa mji huo wanakabiliwa na ukosefu wa maji.