Kipanga na mbwa wanatumika kufanya doria kwenye uwanja wa ndege wa Belo Horizonte nchini Brazil
2023-11-17 05:45:01| cri

Kipanga na mbwa wanatumika kufanya doria kwenye uwanja wa ndege wa Belo Horizonte nchini Brazil kwa kufukuza ndege wanaovamia uwanja huo ili kupungua hatari ya wanyama na ndege kugonga ndege za abiria.