Rais wa China ahudhuria Mkutano wa 30 wa Kilele wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC)
2023-11-18 03:30:59| cri

Asubuhi ya tarehe 17 mwezi Novemba kwa saa za huko, rais Xi Jinping wa China anahudhuria Mkutano wa 30 wa Kilele wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC) mjini San Francisco.