Mzee mwenye umri wa miaka 70 huko Rizhao, mkoani Shandong, China amekuwa akitengeneza bidhaa kwa kusuka matawi ya mti
2023-11-18 02:24:58| cri

Mzee mwenye umri wa miaka 70 huko Rizhao, mkoani Shandong, China amekuwa akitengeneza bidhaa kwa kusuka matawi ya mti unaomea kando ya mto kwa miaka 40 na kibanda chake sokoni kinapendwa sana na wateja.