Rais wa China atoa hotuba kwenye Mkutano wa 30 wa Kilele wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC)
2023-11-18 04:31:51| cri

Tarehe 17 mwezi Novemba kwa saa za huko, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba kwenye Mkutano wa 30 wa Kilele wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC).