Rais wa China arudi Beijing
2023-11-18 20:39:39| cri

Rais Xi Jinping wa China amefika mjini Beijing jioni ya tarehe 18 baada ya kufanya mkutano na mwenzake wa Marekani Joe Biden mjini San Francisco na kuhudhuria Mkutano wa 30 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya APEC.