Waziri Mkuu wa China kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa G20
2023-11-21 18:26:38| CRI

Msemaji wa Wiara ya Mambo ya Nje ya China Mao Ning ametangaza kuwa, kwa mujibu wa mwaliko wa serikali ya India, Waziri Mkuu wa China Li Qiang atahudhuria Mkutano wa Viongozi wa G20 kwa njia ya video Jumatano.