Rais wa China kuhudhuria kwa njia ya video Mkutano wa BRICS kuhusu suala la Palestina na Israel
2023-11-21 20:12:07| CRI

Kutokana na mwaliko wa rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, rais wa China Xi Jinping atahudhuria kwa njia ya video Mkutano maalumu wa viongozi wa nchi za BRICS kuhusu suala la Palestina na Israel leo usiku mjini Beijing na kutoa hotuba muhimu.