Ushirikiano wa BRI kati ya China na Afrika wachangia maendeleo ya Afrika
2023-11-23 14:29:44| CRI

Kipindi cha Daraja kinachokujia kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) kinakufahamisha mambo mbalimbali kuhusu uhusiano, ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika. Katika kipindi cha leo, licha ya habari za wiki hii zilizohusisha China pamoja na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti kuhusu Ushirikiano wa BRI kati ya China na Afrika wachangia maendeleo ya Afrika, pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.