Supu inakuwa tamu, kwani inapikwa na mchanganyiko wa viungo
2023-11-27 10:57:14| CRI

Sentensi hii iliyotoka kwenye kitabu cha madola matatu inasisitiza kuunganisha nguvu za pande zote ili mafanikio yaweze kupatanikana.