Mkutano wa ofisi ya siasa ya kamati kuu ya CPC wafanyika leo hapa Beijing
2023-11-28 20:28:33| CRI

Mkutano wa ofisi ya siasa ya kamati kuu ya CPC umefanyika leo hapa Beijing, na kujadili “maoni kuhusu sera na hatua kadhaa za kuhimiza zaidi maendeleo yenye ubora wa juu ya ukanda wa uchumi wa mto Changjiang” na “Kanuni ya kazi za mambo ya nje za viongozi wa chama cha kikomunisti cha China”

Rais Xi Jinping ameendesha mkutano huo.