Mwalimu wa Tanzania awawezesha vijana kwa ustadi wa lugha ya Kichina
2023-11-30 10:37:48| CRI

Ni wakati mwingine tena tunapokutana katika kipindi hiki cha DARAJA kinachokujia kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo tutakuwa na ripoti inayohusu Mwalimu wa Tanzania awawezesha vijana kwa ustadi wa lugha ya Kichina. Pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.