Rais wa China aendesha Mkutano kuhusu kuhimiza maendeleo ya pamoja ya Delta ya Mto Yangtze
2023-11-30 21:11:49| CRI

Rais wa China Xi Jinping ameendesha Mkutano kuhusu kuhimiza maendeleo ya pamoja ya Delta ya Mto Yangtze, akisisitiza kazi ya kuhimiza mafanikio mapya katika kuhimiza maendeleo ya pamoja ya eneo hilo, na kuonesha jukumu la kuongoza na kutoa mfano mzuri wa kuigwa katika ujenzi wa mambo ya kisasa wenye mtindo wa China.