Duru mpya ya ushirikiano wa vyombo vya habari kati ya China na Vietnam yaanza na kipindi kipya
2023-12-11 19:12:57| cri

China na Vietnam zimeanza duru mpya ya ushirikiano wa vyombo vya habari siku ya Jumatatu, ambapo matangazo mapya ya habari yalizinduliwa ili kukuza maelewano.

Mpango huo, ambao jina lake linaweza kutafsiriwa kuwa "Mawasiliano ya China na Vietnam," unatazamiwa kuwa kipindi cha kwanza cha ushirikiano wa kimataifa kutangazwa kwenye televisheni ya taifa ya Vietnam.