Rais wa China na mkewe wahudhuria dhifa ya kuwakaribisha nchini Vietnam
2023-12-12 21:29:00| CRI

Rais wa China Xi Jinping na mkewe Peng Liyuan Jumanne wameandaliwa karamu ya kuwakaribisha na Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV) Nguyen Phu Trong na mkewe pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kijamaa ya Vietnam Vo Van Thuong na mkewe.