Wakristo duniani kote wako kwenye maandalizi ya sikukuu ya Christmas, ambapo wanakumbuka kuzaliwa kwa Bwana Yesu Kristo. Basi katika kipindi cha leo cha Ukumbi wa Wanawake tutasikia jinsi watu walivyojiandaa kusherehekea sikukuu hii muhimu kwa Wakristo.